Mabadiliko ya Kiwango cha Usajili wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT)

Mkuu, maana yake ni kwamba kile kigezo cha BIASHARA kusajiriwa na VAT yani VRN sasa Mauzo yawe ya 200 Million na sio 100 Million tena ?
 
kama tupo serious kweli, haya mambo ya VAT yabaki bandarini na viwandani tu.

Mkuu, maana yake ni kwamba kile kigezo cha BIASHARA kusajiriwa na VAT yani VRN sasa Mauzo yawe ya 200 Million na sio 100 Million tena ?
Asante kwa swali zuri. Ndiyo mfanyabiashara mwenye kuuza bidhaa au huduma zinazotozwa VAT na kiwango chake cha mauzo kwa mwaka hakifiki milioni 200 huyu hatosajiliwa tena na hastahili kuwa na VRN tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…