Mabadiliko ya madaraja kito cha Nne

Khams

Member
Joined
Jul 15, 2013
Posts
36
Reaction score
11
Sijui hili taifa linaelekea wapi.. Kila kitu
kinaendeshwa kisiasa!. Basi hadi elimu jamani??
Wakubwa katika wizara husika nahisi
hawawajibiki kivitendo hasa katika kuiboresha
elemu ila wapo bize katika kutunga
sera!.. Hii sio njia ya kupunguza idadi ya fails katika taifa, badala yake italeta wataalam wabovu na ambao hawana sifa. #This_is_Tanzania_for_Tanzanians .
 
Wewe unaonaje kuwepo kwa d 5 ili watu wapate vyeti hivi huoni mtu amesota sana kwa miaka 4 halafu no identity kwamba kasoma?hiyo ndo Tanzania tunaishi kama zali leo hivi kesho vile tushazoea wengine its a part of life ilimradi wasifute elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…