Siku chache zilizopita limekuwa na sintofahamu juu ya mabadiliko ya viwango vya miamala katika mitandao yote nchini, kupanda kwa miamala ya kutuma hela na kutoa hela Jambo ambalo linaendelea kupamba Moto kwani kila mtumiaji wa simu Jambo hili linampa kigugumizi hasa katika njia au kipengele Cha kutuma na kutoa hela kwa sababu gharama za awali zilikuwa ni rafiki na elekezi swala ni kwamba Kodi imekuwa ni maradufu ya ada ya kutuma au kutolea (VAT%).
Hii yote ni mipango ya serikali kuu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania kutaka kukusanya mapato hayo kwa njia ya simu na kufanya hivyo kunawapa wakati mgumu wananchi wanao pambana na Hali ngumu za kimaisha kutaka kujikwamua kutoka hatua moja kwenda hatua Bora zaidi.
Wananchi ambao ndiyo chachu ya kulia kwa maendeleo na uchumi kwa sababu fedha hizo no matokeo ya shughuli za kila siku zinazo fanywa na wananchi Kama biashara,kilimo na uchimbaji wa madini, njia hii huenda serikali imehisi kuepuka usumbufu katika kukusanya mapato kwa njia ya moja kwa moja ya kutumia mawakala wa TRA kukusanya mapato kwa wananchi.
Jambo hili limekuja Baada ya kushindikana kwa sakata la kupanda vifurushi vya simu Baada ya kero za wananchi Jambo Hilo likawa limepokelewa na kufanyiwa marekebisho Sasa ni zamu ya miamala kutumika Kama chanzo Cha mapato licha ya kuwa ni kidonda kwa kila mtu wa Hali duni.
Hapa ushauri wangu kwa serikali ijaribu kutumia njia mbadala Kama kupunguza tozo au Kodi za nyumba kwa 3% kisha kukata Kodi hiyo kwa njia ya luku kuliko njia ya kutuma au kutoa hela mpesa Tigopesa Halopesa au Airtel money na kubuni mfumo mzuri utakaokuwa rafiki kwa kila mtu, Raisi asimame kuwabeba wananchi wake kwani hayati JPM haya Mambo yakuumiza watu alikuwa hayafumbii macho, kiongozi Bora asikubali kuwaona watu wake wanataabika kipindi hiki no kigumu kwa sababu njia rahisi na ya haraka kupokea au kutuma hela no njia ya simu, Ada,nauli, fedha yoyote ile kutumwa mbali mpaka simu.
Hali hii itapelekea mitandao kukosa wateja na kula hasara matokeo yake njia ya benki itatumiwa Sana kwa sababu ndiyo njia rafiki isiyo na makato makubwa.
#kushboy#@udomtz~