Analogia Malenga JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 5,108 Reaction score 10,191 Jul 4, 2023 #1 TCRA tunaomba mfanye jambo maana leo kuna takwimu nimezifuata lakini kiunga kuelekea kwenye communications statistics hakifikiki Japo muonekano ni mzuri lakini tatizo hili ni kubwa kwa sisi watumiaji wa takwimu kutoka kwenu, Hili nalo mkaliangalie Uzi tayari
TCRA tunaomba mfanye jambo maana leo kuna takwimu nimezifuata lakini kiunga kuelekea kwenye communications statistics hakifikiki Japo muonekano ni mzuri lakini tatizo hili ni kubwa kwa sisi watumiaji wa takwimu kutoka kwenu, Hili nalo mkaliangalie Uzi tayari