Mdadamwema.
Senior Member
- Aug 7, 2014
- 156
- 173
Habari zenu wanaJF.
Naombeni msaada wenu jamani, Matiti yangu yamekuwa makubwa kuliko kawaida yake, lakini hayana maumivu yeyote, na pua zangu zinanusa vitu kwa haraka sana kuliko kawaida, sisikii kichefuchefu wala uchovu wowote.
Je yaweza kuwa ujauzito au ni nini? Natarajia kuona siku zangu tarehe 24 mwezi huu.