Mabadiliko ya mwili, Msaada Jamani

Mabadiliko ya mwili, Msaada Jamani

Mdadamwema.

Senior Member
Joined
Aug 7, 2014
Posts
156
Reaction score
173
Habari zenu wanaJF.

Naombeni msaada wenu jamani, Matiti yangu yamekuwa makubwa kuliko kawaida yake, lakini hayana maumivu yeyote, na pua zangu zinanusa vitu kwa haraka sana kuliko kawaida, sisikii kichefuchefu wala uchovu wowote.

Je yaweza kuwa ujauzito au ni nini? Natarajia kuona siku zangu tarehe 24 mwezi huu.
 
mdadamwema, Kumbuka tu huduma uliyotoa mara ya mwisho lini! Tayari jamaa karutubisha, we subir hiyo taree upime urine pregnancy test uone!

Kwa maelezo zaid ni-PM 0784172159.
 
Last edited by a moderator:
SHAKIULA

Ok asante Shakiula,lakini nilikuwa najiuliza yawezaja kuwa ni ujauzito mbona dalili nyingine sizisikii kama vile kichefuchefu, na uchovu?
 
Last edited by a moderator:
Ok asante Shakiula,lakini nilikuwa najiuliza yawezaja kuwa ni ujauzito mbona dalili nzngn sizisikii kama vile kichefuchefu,na uchovu ?

Sio lazima uwe na dalili zoooote! He utakuwa binadam wa aina gani! Kutapika kuwe kwako, kiungulia, nyong'onyo, kutema mate, kula udongo, kula malimao, uchovu, presha kushuka, kuumwa kichwa, kizunguzungu, kupoteza hamu ya kula n.k huwez kuwa nazo zote hizo mama aangu
 
Siyo lazma dalili zote hizo !!! NOTE calendar yako na sku ya misho kuzini/ kujamii!!!!
 
Mdadamwema kimbuka tu huduma ulootoa mara ya mwisho lini !!!
Tayar jamaaa karutubisha we subir hyo taree upime urine prgncy test uone!!!!!!
Kwa maelezo zaid nipm 0784172159!!!!!!

nimeipenda hiyo...kwa maelezo zaidi nipm...
 
Sio lazima uwe na dalili zoooote! He utakuwa binadam wa aina gani! Kutapika kuwe kwako, kiungulia, nyong'onyo, kutema mate, kula udongo, kula malimao, uchovu, presha kushuka, kuumwa kichwa, kizunguzungu, kupoteza hamu ya kula n.k huwez kuwa nazo zote hizo mama aangu
Asante korino.
 
Hongera!!!!!! bila shaka utakuwa umemimbika aisee kuhusu dalili siyo lazima uzione zote test mkojo wa asubuhi kwa hyo UPT!!!!!
 
Habari zenu wanaJf,,Naombeni msaada wenu jamani.matiti yangu yamekuwa mkubwa kuliko kawaida yake, lakini hayana maumivu yeyote,na pua zangu zinanusa vitu kwa haraka sn kuliko kawaida,sisikii kichefuchefu wala uchovu wowote.Je yawezakuwa ujauzito au ni nn ?? natalajia kuona siku zangu trh 24 mwezi huu.

sasa c ukapime hispital unataka tufanye lamli au??
 
Kapime ile kitu pregnancy hata leo kama hakuna leta merehesho tutafute ugonjwa mwingine.
 
Back
Top Bottom