Mdadamwema.
Senior Member
- Aug 7, 2014
- 156
- 173
Ok asante Shakiula,lakini nilikuwa najiuliza yawezaja kuwa ni ujauzito mbona dalili nzngn sizisikii kama vile kichefuchefu,na uchovu ?
Mdadamwema kimbuka tu huduma ulootoa mara ya mwisho lini !!!
Tayar jamaaa karutubisha we subir hyo taree upime urine prgncy test uone!!!!!!
Kwa maelezo zaid nipm 0784172159!!!!!!
Niko kwenye ndoa,ni mara kwa mara.Siyo lazma dalili zote hizo !!! NOTE calendar yako na sku ya misho kuzini/ kujamii!!!!
Asante korino.Sio lazima uwe na dalili zoooote! He utakuwa binadam wa aina gani! Kutapika kuwe kwako, kiungulia, nyong'onyo, kutema mate, kula udongo, kula malimao, uchovu, presha kushuka, kuumwa kichwa, kizunguzungu, kupoteza hamu ya kula n.k huwez kuwa nazo zote hizo mama aangu
Asante kwa ushauri mzuri,nitafanya hivyo.Barikiwa.Hongera!!!!!! bila shaka utakuwa umemimbika aisee kuhusu dalili siyo lazima uzione zote test mkojo wa asubuhi kwa hyo UPT!!!!!
Habari zenu wanaJf,,Naombeni msaada wenu jamani.matiti yangu yamekuwa mkubwa kuliko kawaida yake, lakini hayana maumivu yeyote,na pua zangu zinanusa vitu kwa haraka sn kuliko kawaida,sisikii kichefuchefu wala uchovu wowote.Je yawezakuwa ujauzito au ni nn ?? natalajia kuona siku zangu trh 24 mwezi huu.
Mmmh yamekuwa hayo tena jamani !anyway nakushukuru...sasa c ukapime hispital unataka tufanye lamli au??