Am done mkuu!! Kumbe kosa langu nilikuwa natumia ile free basics ya zamani ya maandishi ya pink, ila nimeipata iliyoko currently active.
Mimi natumia chrome kuingia app inanizingua na leo nimejaribu tena kuipakua play store bado inaleta shida.Vipi upande wako app unafanya Kazi ?Asante sana mkuu. Ni ipi hiyo pale play store??
Una mawazo mazuri lakini ukiangalia kwa upande mwingine kuna watu wanachuki binafsi kwa mtu/watu fulani hapa jukwaani. Unaweza ukakuta mtu katoa mawazo yake tena mazuri tu then linatokea kundi kudownvote,Maxence Melo dislike/downvote π button ni muhimu sana ka mkubwa. Mimi kwangu naona ndio pungufu kubwa hapa JF.
pengine ali-like mtaroHuyo extrovert wana m ban wanini mbona kama nimtu pisi tu kaziyake niku like kilakitu.
Hilo swala haliwezekani na Melo kashatolea ufafanuzi hata kimantiki haiji coz ni vizuri kumbukumbu zibaki ili kufukua makuburi na imesaidia sana humu kukamata matapeli na waongo.Mkuu tunaomba sasa mtu aweze kufuta uzi wake mwenyewe, au anapoomba kufutwa kwa uzi wake basi ufutwe bila masharti.
Nimecheka mpaka machozi yamenitoka. Najuta kutobahatika kuusoma uzi huo kabla haujafutwa.Mnapofuta nyuzi muwe mnatoa na sababu juzi tu hapa nililalamikia wadada wanao inama kama ngamia wakiwa sita kwa sita badala ya kubinuka binu!..
Uzi ukafutwa sababu sikupewa!
Ahsante nanyinyi kwa ushirikiano wenu jf for life.
jamiiforum ni NGO, nadhani hayo ni masharti ya wahisani ya kutoweke matangazo ya vitu vinavyosababisha urabu.Melo kwanini hupokei matangazo ya vinywaji has bia na yale ya kubeti? Ni sera ya Jf kutopokea matangazo hayo? Tukiacha hayo bado Jf kwa ukubwa wake haipaswi kuzidiwa na blog au website yeyote hapa Tanzania kwa wingi wa Matangazo ya kibiashara!
Nini kinakwamishwa kupata matangazo? Nini shida
unamaanisha kuwa muandishi alikurupuka au?Kuwepo na OPTION YA MTU KUFUTA UZI WAKE.
Haya mambo ya mtu kupost afu hawezi kufuta haina maana kabisa, Platform zote unaweza kufuta ulichoandika.
ππ€£π mkuu hii ni template. Feature hiyo ya sauti mpaka 2030Tunapendekeza kuwe na mijadala live kwa kutumia sauti zetu.. Kama ilivyo kwa SPACE..
Vile vile baadhi ya user hatupati notification..
Wee cheka tu lakini inaudhi kweli kuonekana aina ya simu mtu anayotumia,kwa mfano mimi imeanza tuu ghafla kuonyesha awali ilikuwa haionyeshi.
Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
wahisani wanasemaje?Maxence Melo mimi napendekeza members wenye viashiria au wanao support ushoga wapigwe ban
Ni halotel pekee siku hizi.Mkuu Maxence Melo Mshana Jr na wakuu wengine wote.
Naombeni mniambie jamii forums inapatikana free basics ya mtandao gani?? Nimejaribu Halotel lakini haifunguki
Hahaha nafurahi ujumbe umekufikia mkuu.π π πView attachment 2240416
Hi sio tecno mzee
Hello Guys incase ukikumbana na changamoto za kupata new version ya Jamii Forum kama mimi please fata hatua zifatazo:-
1. Kama ulikuwa unatumia App kama mimi please unstall it
2. Weka kumbukumbu vizuri ya email na password yako maana itahitajika kutumika tena ku-log in
3. Futa link iliyowekwa na Maxence Melo ili kujua namna ya kuinstall the new version which ni rahisi na user friendly
4. Install the new version, log in kisha enjoy the new version
Key takeaways; Unstall the old App ili ku -install new verson. Ukiwa kwenye app hakuna sehemu ya ku-upgrade kwenda kwenye version mpya so ni lazima u-unstall
Thanks and wish y'all the best
Mimi natumia chrome kuingia app inanizingua na leo nimejaribu tena kuipakua play store bado inaleta shida.Vipi upande wako app unafanya Kazi ?View attachment 2240493
Kadownloand iliyoandikwa ultimate free basicsMimi natumia chrome kuingia app inanizingua na leo nimejaribu tena kuipakua play store bado inaleta shida.Vipi upande wako app unafanya Kazi ?View attachment 2240493