Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Hii ya kupata page zote kwa pamoja ipo vizuri sana... Hongera sana kiongozi.
 
Mkuu usisahau jukwaa letu la wakubwa, members wa jukwaa lile tumekuwa kwenye kifungo cha mateso kwa muda mrefu sana bila kujua hatma yetu...

Ni matumaini yetu utaskia kilio chetu na kwa kutuondoa kwenhe hiki kifungo dhalimu.
 
Wakuu,

Tupo kwenye hatua za mwisho kuja na JF yenye mwonekano mpya ambayo inaendana na mabadiliko ya teknolojia. Kwa wanaohitaji kuwa sehemu ya majaribio, mnakaribishwa...
JF navigating different forums is messy, can't navigate anymore through the browser.

Some of us do not simply want to roll with trending news, and if that is so important we wish to have the option to go to the trending threads of the forum of our liking at any moment
 
Nimeipataa, ooookay endeleeni🤭
 
Bos, kuwe na option ya kutumia app au browser. Nilijaribu kuingia kwa browser, sikupata urahisi kama ninaoupata kwenye app ninapotafuta thread
 
Huu muonekano wa browser umekua mbaya maandishi Ni makubwa mno waambie wataalamu wako wajaribu kuupunguza font's ili ziweze kuonekana vizuri na kwa ustaa zaidi
 
Bonyeza hapo kwenye vingazi vitatu(hapo pembeni ya home) ,click forums utaenda kwenye forms mbali mbali
 
Maxence Melo Huu muonekano wa sasa upande wangu . Nadhani Font size.. sio nzuri naomba uliangalie hili tafadhari
 
Maxence muonekano mpya bado unaumiza macho,...fonts na rangi., you still need to play with it a little bit more...otherwise turudishieni wa zamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…