Mabadiliko ya mwonekano JamiiForums - Juni 2022

Kuna icon mmeitoa upande wa browser.. ilikuwa tukiclick tunapelekwa direct to new trending..

Sahivi hapa nateseka kurudi, njia siioni boss
Maxence Melo
 
Nimetoka sekunde mbili tu kurudi nakumbana na mabadiliko nikanunua popcorn na kuja kwenye uzi huu kusoma malalamiko. Leo naweka makazi jukwaa la malalamiko maana wabongo kwenye hii sekta tupo vizuri🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uwiii
Ndio naupata now muonekano mpya… hakii sijapendezwa!!

Maybe baadae sana nikiuzoea.. font kubwa.. mambo tafrani yan
Utazoea..mbona 'kicheko😂' 'nzuri😍' na 'masikitiko🙁' umezoea?
 
Nikifungua forum nashindwa kuona mada zaidi ya 3 kwenye screen, inabidi nianze kuscroll, hii sijaipenda...
 
Hahahahah, we jamaaa bhanaaa..., eti urahisi wa kufichua mambo mazito 😂😂😂😂, unapeeeenda watu wafichue mambo au sio? 🤣🤣🤣🤣 daaaaah
 
Hii ni changamoto aisee, Mi mwenyewe natumia browser nimeona trendings tu bila forums. Kuna majukwaa huwa napenda kuanza nayo au kuingia mara kwa mara.

Nilichofanya nime-clear cookies kisha nikaingia jamiiforums upya bila ku-login. Hapo utaona forums zote.
Baada ya hapo nikasave huo ukurasa wenye forums zote kwa ufikiaji wa haraka muda wowoe then nika-login.
 
Jamn haya mabadiliko kwangu hayajanifurahisha, 😪😪😪 kuna hali nimezoea hapo kabla lkn saa hii asee!

Lkn ndo hvyo wanasem wengi wape, huenda nikayazoea haya mabadiliko hapo baadae.
 
Mm bado cjafanya any updates sijui kutakuwa na shida nisipo fany hvyo
 
Humu hawezi kila mtu akataka lake lisikilizwe but hii sasa hapana wakuu, nilikuwa naperuzi ghafla imekuwa hivi,bora ibaki kama mwanzo aisee mwanzo ilikuwa bomba sana
 
Nashauri iwekwe SHORTCUT ya "NEW POSTS"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…