Herbert Nkuluzi
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 2,592
- 2,629
Haijawahi tokea fisi akamtetea mbuzi,zaidi zaidi ni kumfanya kitoweo tu,hiyo ndio kazi ya ccmNjoja waje wapiga zumari! yaani kama kweli analitakia mema taifa hili ilipaswa awe wa kwanza kuweka sheria njema hata kuondoa kinga ya maraisi kutokustakiwa.
kuna mambo ya kishetani wanataka kutufanyia 2020 - 2025 tukidanganyika kuwarudisha madarakani October.Kwa upande wangu sijaelewa Magufuli kupeleka muswada bungeni wa kutoshitakiwa yeye na viongozi wote wa mihimili ya nchi kwa makosa wanayofanya wakiwa madarakani.
Inakuwaje mtu muadilifu, mcha Mungu, kiongozi wa wanyonge, mtu asiyependa rushwa na ufisadi akawa muoga wa kushitakiwa? Una hofu na uwoga gani unatarajiwa kufanywa au ushafanywa hadi kujiwekea kinga kubwa kiasi hicho?
Bila shaka anatuambia yeye sio msafi hata kidogo kwa sababu ukiwa wewe ni msafi unapata uwoga gani wa kushitakiwa?
Mungu akuepushe na yaliyomkuta LwajabeMkuu magufuri hajawahi kuwa mwadilifu...ni mpigaji mnoo...na ndo maana toka nchi hii kuumbwa hapajatokea upotevu wa hela za umma Kama awamu hii ya 5...mwaka 2016 kuja 2017 imepotea sh. Tr 1.5,..hazijulikani ziliko...mwaka 2017 kuja 2018 imepotea 2.4 Tr hajulikani ilipo,, mwaka 2018 kuja 2019 i mm potea Tr 1.8..ukijumlisha unapata 5.7 Tr ambazo hazina maelekezo..ndo kisa akamuondoa prof.Assad maana jamaaa alimuumbua vilivyo... magufuri ni mchafu kuliko marais waliomtangulia...ndo maana sasa hd anaoiba nao ameamua kuwawekea kinga ya kutokushitakiwa... Kama kweli ww ni msafi kwnn uwe na hofu???
Yaani mkuu tunakazi na hii damu ya kinyarwanda, kwnza haitataka kuachia madaraka kutokana na uchafu iliyoufanya..pili kufunga watu kwa kubambikia kesi, tatu kuua na kutesa wapinzani wake wa kisiasa, ndani ya chama chake na nje ya chama chake..Mungu akuepushe na yaliyomkuta Lwajabe
Mungu akuepushe na yaliyomkuta Lwajabe
AminaLWAJABE, Mungu huyu anaedhihakiwa Madhabahuni na wauaji wako na Ahukumu kwa kadri ulivyotendwa. Amen