Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hakuna mchakato utakaokuwa mgumu kama huu hapa tz, kwasababu siku hizi kuna mwamko sana wa haki za binadamu na wapigania haki za wanawake ambao wengi wanapinga sheria ya ndoa kwa upande huu wakati wapo wengine wanaopinga kwa upande mwengine.Habari zenu wadau msaada kwenye tuta katika mchakato wa kubadilisha au ku ammend baadhi ya vifungu katika sheria ya ndoa je mchakato huo umefikia wapi kwa sasa? Au ni mapendekezo gani yaliyotolewa?
Unachokisema wewe kinaitwa presumbition of marriage. Kwasheria za ndoa(nimesahau kifungu) presumbition ni miaka 2 na sio miez kma unsvosema,sio general rule kua ukikaa na mwamke kwa miaka miwili basi nyie mnakua pressumed kama mke na mme kuna vitu vngne vinaangaliwa.ndoa zip za aina mbili zinatambuliwa kisheria mbazo ukienda hata maakamani kuzivunja(divorce)zinaeleweka nazo ni ndao za kidini(kanisan na msikitini) na ndoa za kiserikali.(bomani)msaada!
Sheria ya ndoa inabainisha kuwa mume na mke mkika pamoja zaidi ya miezi mitatu tayari nyinyi ni mume na mke, sasa je! Mwanaume ukimtolea
mwanamke mahali harafu hukuweza kukaa naye ndani ya mwaka mmoja yeye yupo kwao na mwanaume yupo kwao je! Hawa ni wanandoa au mume na mke?