Ushauri mzuri jamani.Tatizo mnawahi hata hamjapona vema.jipe mda mamii,usiwaze atachepuka wakati hata ukimpa anachepuka.
pili mtoto akizaliwa mambo huwa mengi wanaume hawapendi kelele za watoto so hutafuta pa kujiliwaza.
dawa ya komesha micheps ni maombi,Anza Leo haraka Sana,kwa akili zako huwezi.
Nulichanika saaaana mkuu kama nyuzi nne hivi.Tulia kwanza usifanye mambo ya wakubwa,patarudi tu,kalia maji ya moto na salt,then bana miguu mda mwingi,inaonekana ulichanika Sana,so jipe likizo one yr hadi upone.
Niliambiwa katika hali hiyo jitahidi sana kuepuka kuinama na kuchuchuma.Miezi ya mwanzo nilikuwa nikiinama kudeki au kutandika kitanda nasikia hewa inapita jamani... Wanawake wenzangu huwa mnapaweka nini?
Amepata kisingizio.Huyo mumeo ana sababu zingine za kuchepuka, muulize vizuri
huo mkuu ni wasiwasi wako tu, uke hauwezi kuwa na mabadiliko kabla ya kupita kiyumbe na baada, ila kuna sababu moja ya uke kuwa mkubwa nayo ni ukiwa una nyege sana na ute laini wa shahawa ukianza kukutoka ndio hapo shemeji atahisi uke wako ni mkubwa, na wewe uume wake utauona kama kibamia. basi ukiwa unataka shemeji uke wako umbane, usikubali uke wako auguseguse na kufanya romance, mkikutana kimapenzi mparamie kabla ya wewe nyege yako haija anza, kwa hapo ukewako utakua taiti sawa na bikiraWana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..
Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...
Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Niliambiwa katika hali hiyo jitahidi sana kuepuka kuinama na kuchuchuma.
Hewa inaingia ndani kwasababu mlango bado unakuwa wazi.Hmmmm! Nasikia hii ya kuchuchumaa na kuinama kwa mara ya kwanza.