Fanya hivi Mpendwa wiki tu utaleta mrejesho pia uwe unanawa na maji ya baridi usitumie maji ya moto kabisa.Miezi sita mbona ni muda muafaka kabisa, ngoja tuanze hivi mazoezi ya kurudisha K unayafanya ukienda kukojoa kujoa na kubana mkojo kama dakika moja, endelea tena hivyo mpaka unamaliza unakuwa umebada kama mara tatu/nne. Utarudi na mrejesho. Ukikaa pia uwe unafanya mazoezi hayo mwenyewe bila hata ya kutoa haja ndogo.
Utarudi vizuri kabisa,Mumeo kaamua zake kuchepuka tu sidhani kama Hiyo ndo sababu swala la kuzaa sio mchezo changes ni nyingi lazima mwanaume Aelewe baada ya muda unarudi kawaida.