Fanya mazoezi uwe ukilala kitandani kisha inua miguu Yako ikamate kwa mikono uwe ukiivuta kuleta kichwani Fanya hivyo kila siku asubuhi na jioni mwezi mmoja lete mrejesho hapa jfAstakhafir llah....Wallah [emoji12]
Duuh aisee...labda muulize huyo mume wako anaweza kukupa jibu km iko tight au imelegea au labda wanaume hapa jf ambao wake zao wamezaa karibuni mpeni experience za wake zenu ili kumsaidia huyu dadaWana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..
Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...
Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Hii ina make-sense kuwa vibamia hamnaga ila mashimo yanakuwa makubwa zaidi siku hizi.Wana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..
Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..
Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...
Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Mwenye kibamia tena??Mumeo pekee ndio ajuaye
Unaweza mtafuta mwenye kibamia akatest
Kama mwenye kibamia itaingia kwa shida basi K imebana bila shakaMwenye kibamia tena??
ES andika vizuri basi, sikupatiMchagua km si mtmbj
Maombi gani sasa, mnamsumbua mungu tu,halafu mungu asipojibu mnaanza kumlaumu, mungu haingilii privacy za mtu yaani huyo mchepukaji,ndo maana anaitwa mungu wa haki, katika zile sifa kuu nneTatizo mnawahi hata hamjapona vema.jipe mda mamii,usiwaze atachepuka wakati hata ukimpa anachepuka.
pili mtoto akizaliwa mambo huwa mengi wanaume hawapendi kelele za watoto so hutafuta pa kujiliwaza.
dawa ya komesha micheps ni maombi,Anza Leo haraka Sana,kwa akili zako huwezi.