Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Mi napenda kubwa we njoo huku hahaha just joking,hata kama ikiwa kama kitobo cha 0713 kama ni wa kuchepuka hawezi kuacha ni tabia yake hiyo.
 
Astakhafir llah....Wallah [emoji12]
Fanya mazoezi uwe ukilala kitandani kisha inua miguu Yako ikamate kwa mikono uwe ukiivuta kuleta kichwani Fanya hivyo kila siku asubuhi na jioni mwezi mmoja lete mrejesho hapa jf
 
Wana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..

Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..

Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...

Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Duuh aisee...labda muulize huyo mume wako anaweza kukupa jibu km iko tight au imelegea au labda wanaume hapa jf ambao wake zao wamezaa karibuni mpeni experience za wake zenu ili kumsaidia huyu dada
 
Mumeo pekee ndio ajuaye
Unaweza mtafuta mwenye kibamia akatest
 
Wana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..

Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..

Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...

Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
Hii ina make-sense kuwa vibamia hamnaga ila mashimo yanakuwa makubwa zaidi siku hizi.
 
Hamna kitu kibaya kama Kei inayopwaya, yaani afadhari hata kuweka mafuta kwenye kwapa na kusugulia mashine hapo kuliko kwenye bwawa.
 
Ukweli ni kwamba mwanamke mwanzoni kabla hajazaa na baada ya kuzaa hasa mtoto wa pili kunakuwa na utofauti mkubwa sana wa kei zile chana chana zinafanya kei kuwa kubwa na kupunguza hisia kwa mwanamke na pia mabadiliko ya mwili kuwa kibonge na kei kuwa shagalabaghala plus mwanamke kuonekana mzee.Pia mwanamke kupunguza heka heka kwenye minyanduano yaani bora liende Sasa hapo ndio shida watu wanaanza kutafuta vitoto vya 2000 ambavyo vina balaa kwelikweli kwenye uwanja wa SITA kwa SITA na vikei vidogo vidogo.Watu wanatafuta vichuchu vidogo na vikei vidogo,wanaume tuache hizo mambo tulia na mkeo usihadaike na vitoto vya 2000.
 
Tatizo mnawahi hata hamjapona vema.jipe mda mamii,usiwaze atachepuka wakati hata ukimpa anachepuka.
pili mtoto akizaliwa mambo huwa mengi wanaume hawapendi kelele za watoto so hutafuta pa kujiliwaza.
dawa ya komesha micheps ni maombi,Anza Leo haraka Sana,kwa akili zako huwezi.
Maombi gani sasa, mnamsumbua mungu tu,halafu mungu asipojibu mnaanza kumlaumu, mungu haingilii privacy za mtu yaani huyo mchepukaji,ndo maana anaitwa mungu wa haki, katika zile sifa kuu nne
 
Back
Top Bottom