Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Fanya hivi Mpendwa wiki tu utaleta mrejesho pia uwe unanawa na maji ya baridi usitumie maji ya moto kabisa.

Utarudi vizuri kabisa,Mumeo kaamua zake kuchepuka tu sidhani kama Hiyo ndo sababu swala la kuzaa sio mchezo changes ni nyingi lazima mwanaume Aelewe baada ya muda unarudi kawaida.
 
K. Tu inaweza kua sio sababu mm bwana hata mwanamke akiwa mzuri vip akiwa na kero kero nyingi hlf sio muelewa uwaga ananishinda kwahy apart from maumbile je hakuwahi kua malaya ukampenda hivo hivo na umalaya wake?je una kero kero nyingi?maana makero+maumbile makubwa ndo michepuko ila kuhusu maumbile tu mwanaume anaweza vumilia km hakuwa malaya,je na ww huna kero nyingi...kero kero kero ndo jitahidi kupunguza...
 
Jaman mbon umenichekesha sana
 
Yaani hii ya maji ya baridi ndiyo nilitaka niongeze, ulaya wazazi wanapewa mkanda ulijazwa barafu ndani wanazungusha kiunoni na wanapona vizuri tu hawatumii maji ya moto.
 
Tatizo umeolewa na libazazi ndio maana unaangaika hivi.

Angekuwa ni mwanaume asiyekuwa na uchu wa ngono hayo ni mabadiliko ya kawaida sana ambayo hayawezi kuwa sababu ya yeye kuchepuka, kwani yeye ndio aliyekulegeza uchi kwa kukuzalisha.
 
Bidada;
Punguza mihemuko. Hakuna mwanamume mwenye akili timamu atachepuka kwa siku hizo chache ulizo kaa ulipojifungua. Hayupo. Ila, kwa sababu za kutojiamini kwako una mawazo kuwa atachepuka tu. Wapo wamama wenzio hujidhalilisha kwa waume zao hadi kutoa tigo ati aone tofauti. Nasema. punguza mihemko.
K hurudi vizuri tu hadi ushangae. Huna haja ya kuweka vitu humo ili ibane. Mwingine amekuambia ati Kalia majiya moto na chumvi, huogopi kuchubuka?? Wengine ati bana mkojo. Anayajua maumbile ya K au?? Utaubanaje mkojo?
Tulia, jitahidi usafi sana, Ikiwezekana ongeza ufundi wa mapenzi hata fikia kulamba koni hakikisha kuwa humnyimi usingizi kwa madai yaso na maana; Umechelewa wapi, umetoka wapi. Mbona leo umenuna, mbona sm yako iliita usiku ule etc. Nenda kwa maombi saana, sikuambii uende kanisani bali hapo hapo chumbani omba sana akusikie. Mwombee ulinzi na baraka. Atabadilika tu.
Swali chokonozi; Ulimpindua mwingine au ulimwibia mwingine kwenye uchumba??? Usiogope, weye ni maza hausi fulu. Mtoto wako mzima lakini?? Angalia usimletee mdogo wake mapema kwa hofu ya micheps isokuweko. Jipe moyo kuwa; Hao wengine wote "majizi tu" wewe ndo malkia
 
Pole mdau. Kuhusu maumbile mimi nikushauri tu jiamini. Kuhudu mume kuchepuka maumbile sio sababu ila ni majaribu tu muombee pia usiwaze kuchepuka kwake utakonda bure.
 
Hi naiona kama Mpya mwanamke akishajifungua k hurud katika hali yake ya awali ikiwa nikujikanda na maji ya uvuguvugu, inawezekana ulichanika ndan yan (tear) na hawakuona nakushona, hivyo jaribu kufanya zoez pia ukienda kwa Dactar Wa akina mama atakusaidia zaid afu jitahid wakat Wa tendo uwe unambana
 
Kuna dawa ya kiasili unaitumia kwa kuosha asubuhi na jioni wiki moja tu inarudi kama bikra
 
Sasa hiyo kitu ni kawaida kwa mwanamke ukisha zaa lazima Papuchi itanuke huo ni uzazi tu auzoee
 
Usijiweke roho wima na vitu vidogo kama hivyo... Huyo jamaa yako anachepuko wala siyo kwa sababu ya uke wako kuongezeka wala nini... Ni kwa sababu kaamua au ni tabia yake au tamaa zake tuu..

Na pia inawezekana labda yale mliyokuwa mnafanyiana kabla umepunguza au kuacha kabisa...


Leo mwanao/wanao vizuri sisi wanaume mara zingine haturidhiki na hatuna shukurani...


Cc: mahondaw get well soon love...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…