Ila kidonda gani kinachukua mwaka mzima kupona??? Kikipona si uko okay kuendelea na mengine au ndo mpaka umalize huo mwaka?binadamu my dear,sasa niumie kisa ndoa,akitaka kuchepuka huwezi mzuia hata kama utado na blood inatoka,ndoa si utumwa,tena alikuwa ananihurumia Sana,juu aliona vile niliumia.kumletea mtoto si kitu cha mchezo na nashukuru anathamini Hilo.
Tehe tehe teheUmepanuka kea sentimita ngap?!
Wanawake mna tabu sana
Mmh yani miezi yote hiyo hapajapona?binadamu my dear,sasa niumie kisa ndoa,akitaka kuchepuka huwezi mzuia hata kama utado na blood inatoka,ndoa si utumwa,tena alikuwa ananihurumia Sana,juu aliona vile niliumia.kumletea mtoto si kitu cha mchezo na nashukuru anathamini Hilo.
After 40 days unaruhusiwa kushiriki tendo ingawa unaweza pona less than huo muda piaNa Mimi naongeza swali . Inachukua mda gani jeraha kupona baada ya kujifungua
Naona umejenga kibanda kwny huu uzi kila baada ya comment 5 upoTehe tehe tehe
UchocheziHuyo mumeo ana sababu zingine za kuchepuka, muulize vizuri
Wewe mama unatutoa nje ya madaMpotezee huyo kiumbe omba pesa za matumizi nyingi bila huruma kama kuna mambo ya familia kama ujenzi na nk sisitiza Hayo kwa upole wa hAli ya juu .. kingine usimfutilie mpotezee halafu fanya majukumu yako kama mke endelea na zoezi
Msamehe huyu mwone kama mbwa anaekula jalalani.haaa.. yani unanitukana aisee mods pigeni ban huyu kavunja sheria
Nyuzi sita ndio maana nilichanwa Mara mbili,Mara ya kwanza walikosea walikua ni manesi nahisi ni wale wa field, wakamwita doctor haraka maana hali ilikua teteUmesema nyuzi ngapi? unamanisha walimaliza nyuzi sita wakushona msamba?
Ndani ya mada ni uke kulegea halafu mume anachepuka .. sasa me namsaidia tu wakati a nasubiria ubane asipambane na na Huyo mwanaumeWewe mama unatutoa nje ya mada
Wife Ana miezi mitatu bado anauguza jerahaAfter 40 days unaruhusiwa kushiriki tendo ingawa unaweza pona less than huo muda pia
nani sasa amwone huyo dr..?Msamehe huyu mwone kama mbwa anaekula jalalani.
Ushauri
Mwone Dr. Au nisms nikuunganishe na Dr wa Mke wangu
Jamii Forum raha sana, Maxence Melo Mubyazi ukianza kuuza hisa, tutanunuaa sana maana, tokea jana nipo hewani Jamii Forum nakula shule. Nadhani hata server ya Marekani washaona huu mtandao upo poa sana.Miezi ya mwanzo nilikuwa nikiinama kudeki au kutandika kitanda nasikia hewa inapita jamani... Wanawake wenzangu huwa mnapaweka nini?
A see bonge LA idea! Jamaa waende IPO tununue tu hisa hamna namnaJamii Forum raha sana, Maxence Melo Mubyazi ukianza kuuza hisa, tutanunuaa sana maana, tokea jana nipo hewani Jamii Forum nakula shule. Nadhani hata server ya Marekani washaona huu mtandao upo poa sana.
Mpaka Wakenya na wenyewe wameiga kila kitu kutoka kwa jamii forum
Shikamoo mwanamke [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Miezi ya mwanzo nilikuwa nikiinama kudeki au kutandika kitanda nasikia hewa inapita jamani... Wanawake wenzangu huwa mnapaweka nini?
Duh kumbe haya fanya hivyoUsisikilize kila neno,kwa akili ya kawaida tu mwanamke unaanzaje kukaa mwaka bila ngono na unaishi na mwenza wako?Kitabibu ngono huweza kuresume kuanzia week ya nne mpaka ya sita kama mtu amepona sawa sawa(hasa wa upasuaji)
kwa wengine maybe miezi miwili mpaka minne.Hii huzingatia pia mambo mengine kama afya ya mama,hali ya asili ya kimaumbile n.k.Hivi ndani ya huo mwaka huyo mama anakuwa anajichua au??
Sio kweli neno hiloLazima uke utanuke unless usingezaa kabisa.