Paprika
JF-Expert Member
- Feb 25, 2017
- 5,951
- 9,878
Ila kidonda gani kinachukua mwaka mzima kupona??? Kikipona si uko okay kuendelea na mengine au ndo mpaka umalize huo mwaka?binadamu my dear,sasa niumie kisa ndoa,akitaka kuchepuka huwezi mzuia hata kama utado na blood inatoka,ndoa si utumwa,tena alikuwa ananihurumia Sana,juu aliona vile niliumia.kumletea mtoto si kitu cha mchezo na nashukuru anathamini Hilo.