Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Naona umejenga kibanda kwny huu uzi kila baada ya comment 5 upo


Unachukua ujuzi mapemaaa.


Ila uchi ukiwa mpana sana nayo ni kero ukiwa unapiga mambo watu wanaweza kusema unafulia chumbani kumbe mwenzio ana mtera
Lol

Sijasoma Hadi mwisho
 
Ila kidonda gani kinachukua mwaka mzima kupona??? Kikipona si uko okay kuendelea na mengine au ndo mpaka umalize huo mwaka?
kilipona vizuri tena mapema,tatizo nilikua muoga kuwa pakichanika tena nitashonwa,so wote tukawa waoga,kuwahi huwa mbaya Sana ndani unakua hujapona.
 
kilipona vizuri tena mapema,tatizo nilikua muoga kuwa pakichanika tena nitashonwa,so wote tukawa waoga,kuwahi huwa mbaya Sana ndani unakua hujapona.
Oooh!!! Vizuri...
Mungu akuponye kabisaaaaa
 
Duh kumbe haya fanya hivyo
Yani ujikafirishe nafsi mwaka mzima kisa kumfurahishe mume?Naanzaje kupunguza mwaka mzima katika uhai wangu kusubiria ubikra wa mara ya pili?Umeambiwa hata ukiwa na k inavuta kama break down mwanamme kama malaya atachepuka tu.
 
Kegel ni zoezi tosha usiwe na wasiwasi jipe muda utabana kuliko mwanzo. Mwanamke akizaa mara mbili au zaidi ndy uke unakuwa sawa. Lkn inachukua miezi mingi kurudi ktk hali yake. Usiweke madawa au kujaribu sijui njia zozote zisizo faa utaharibu mwilo wako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…