Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Mabadiliko ya uke baada ya kujifungua

Wana jf
Habari za jumapili.
Nimejifungua mtoto Wa pili miezi 6 iliyopita! Kuna uwezekani wa uke kuendelea kubana hata baada ya kujifungua..

Ninajitahidi sana sana kufanya kegel exercises kila mara.
Nitajuaje kuwa uke wangu sasa umeanza kubana kama awali..

Naombeni msinibeze Bali mnifahamishe namna nzuri ya kudeal na maumbile haya mapya...

Nina uchungu sana shemeji yenu alikuwa akinipenda na kunisifia sana kabla ya mtoto Wa pili,, now days ni michepuko hadi nakoma so nahisi ni sababu ya maumbile ya k yamepanuka sana!
 
Mtafute Amani missana wa pillow talk anakitu kinaitwa bana banduka utakuja kusimulia Rafiki yangu mkewe alikuwa Kama ww but sasa Mambo ni mubashara kabisa anahisi kawa Binti
 
Watoto wawili bado unataka ibane ka nullpara??..give me a break! Thats the aging process.... ha msing jaribu ku-focus na mambo ya msing zaid ya ilo. Swala la **** ku ana is the least.
 
Hahaha shemeji siku hizi umekuwa mkorofiii. Haha mungu anakuona lakini
Kajisemea mume wangu, matakataka[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivi shemeji mbona suala la mkeo kila nikikuuliza unalikwepa?
 
Kajisemea mume wangu, matakataka[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hivi shemeji mbona suala la mkeo kila nikikuuliza unalikwepa?
Kwani shemeji unataka nini juu ya suala la mke wangu? Kutambika ama? Alaaah mbona unanipangia kumtaja wakati mahari nilitoa mimi
 
Kwani shemeji unataka nini juu ya suala la mke wangu? Kutambika ama? Alaaah mbona unanipangia kumtaja wakati mahari nilitoa mimi
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani nimecheka kwa nguvuuuu!! Basi yaishe shemeji, nimemmiss tu sijamtia machoni kitambo.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yaani nimecheka kwa nguvuuuu!! Basi yaishe shemeji, nimemmiss tu sijamtia machoni kitambo.
[emoji16][emoji16][emoji16]
Umeanza lini tabia za kumiss wake za watu
 
Waone madatari bingwa wa magonjwa ya wanawake.......at the same time uwe unakamulia limao ili k iwe mnato......
 
Nakushauri: Uwe unajisafisha na maji ya uvugu uvugu ikibidi kamulia maji ya limao kwenye hayo maji.....ukifanya hivyo kwa wiki mbili utatafuta mtu wa kukutoa bikira. (niliona hili kwa mtu wangu baada ya kujifungua)

Pole sana
 
picha tafadhali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] atume pic et
 
FB_IMG_1491744724362.jpg

badala ya kujadili maendereo, nawaona na udaku hapa..
 
Back
Top Bottom