Mabadiliko ya vifurushi: Ninadhani tunamuonea Dkt. Ndugulile. Je, wabunge kazi yao ni ipi?

Ni mjinga pekee anayeweza kusupport hilo.....kuna watu wanafanya online business kuendesha maisha yao.....faida za mitandao nikubwa kuliko huu ujinga unaowazwa.....kama unakosea utakosolewa tu
Ukisha qualify kuitwa MATAGA akili unakuwa ushazikabidhi kwa chakubanga
 
SABABU;
1.Ndugulile pia ni Mbunge kama unaowalaumu.
2.Kilivhopandisha bei si kutokana na sheria ya iliyotungwa na bunge bali Kanuni zilizotungwa na Waziri ambazo ni wajibu wake kuzitunga akiangalia maslahi mapana na wananchi.
3.Ni yeye binafsi aliyetoka hadharani na kutoa tamko kwamba vifurushi vitashuka bei kuanzia April 1,2021 lakini ikawa kinyume chake.
 

Ndugu lile alitoa ahadi ya 1Mb =2Tsh
Sasa sijui wapi alikwama kufanya kukokotoa? Labda kama alikwama kwenye kupunguza kodi maana mtu awezi kupunguza bei ya vifurushi bila kupunguziwa kodi!

View attachment 1741967
 
Mkuu umeniacha hebu ianzishie mada yake kamili Kuna kitu hapa mkuu
Huyu dogo alikuwa anasoma udom, mama mbene alikuwa enzi hizo za Jk naibu wa fedha via special seats......akawa anamtuma jimboni kuandaa mazingira ya 2015.....kwa ahadi hata shule atampeka nje......akawa amedisco Udom....mama alipopata Ubunge hakutekeleza ahadi zake na kumtema kama bigiji....dogo ikabidi apambane kwenda kwa Tulia ndiyo akamsaidia kuanza first year mzumbe ya Mbeya......akagraduate hapo.......na mwaka jana alikuwa candidate mmojawapo wa kuomba Ubunge na boss wake wa zamani na kujizolea kura chini ya digit 2.......ila ni kijana mwema sana Elius hana makuu, sema anaonewa sana
 
Lengo lako kuu hapo ni hiyo namba ya simu tu!
 
MATAGA wanasema hii ndiyo ilikuwa ni dawa ya wakosoaji wa ccm
Wakibadili watasema serikali inawajali wanyonge 😁😁😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…