Mabadiliko ya vifurushi: TTCL MB 1 kuuzwa kwa Tsh 2.50

Mabadiliko ya vifurushi: TTCL MB 1 kuuzwa kwa Tsh 2.50

Nenda BuFEE
Walichokifanya ni mauaji, naing'oa laini yao sasa hivi kutoka kwenye simu yangu..

Bufee ndiyo lilikuwa chaka langu..

Imagine mwanzo walikuwa wanatoa GB 10 kwa 7,000/=.

Wakaja wakapandisha GB 10 kwa 15,000/=..

Eti leo hii wamepandisha mpaka GB 10 kwa 25,000/=?😂. Hawawezi wakawa serious hata kidogo. Hapa kuna mkono wa mtu siyo bure.

IMG_20220818_065411.jpg
 
Mtandao wenyewe unasuasua halafu wanapandisha gharama si watu watawakimbia?

Au ndio wana improve network yao kupatikana muda wote?

Kwa kweli jamaa ni mtihani mkubwa
 
Back
Top Bottom