marcus dedsec
JF-Expert Member
- Nov 29, 2017
- 944
- 987
Sio poa kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
VODACOM BUSINESS HOME USERS &OFFICEnanunua 1.5 GB kwa 3000 Voda, yaleyale tu
Hamia kwenye unlimited bandlesTunaisoma kifo cha mende chali
Hapa nilipo najaribu kutazama GHARAMA NAFUU kwenye mitandao mingine.Tunaisoma kifo cha mende chali
Ttcl hili ilikuwa 2250nanunua 1.5 GB kwa 3000 Voda, yaleyale tu
Kabla ya jana ulikuwa ukilipa Tsh 5,000/= unapata GB 3.6 kwa Mwezi na sasa unapata GB 2.2 kwa Bei hiyo hiyo.Mambo ni byuti byuti huko kwenye maasiliano.
Sasa MB 1 ni Tsh 2.50 kutoka 1.50 na hiyo ni TTCL tu sijui huko kwingine
Alfajiri nikiamka na kwenda Haja Kubwa ( Kupupu ) kabla ya Kuflashi Mzigo Uende nitaitupia pia na Line yangu ya TTCL ili nayo ipotee mazima na nitabaki tu sasa na Line yangu pendwa na ya miaka mingi ya Airtel ambayo hata Rangi yake tu Nyekundu na Nyeupe nazipenda kwakuwa zinawakilisha Rangi ya Timu yangu pendwa kabisa nchini Tanzania.Hadi aibu, yani wanashindwa hadi na voda na tigo 😂😂😂
Watajikuta wamebaki na wateja wao wa taasisi tu
Hivi Rais wa Rwanda Kagame alimwambia Rais gani vile wa Afrika Mashariki kuwa anaongoza Maiti na Taifa la Watu Wapumbavu ambao hawajitambui na wanapelekwa pelekwa kama Ng'ombe Pori?Sio poa kabisa
Karibu Airtel Ndugu huku utafurahia!!Hapa nilipo najaribu kutazama GHARAMA NAFUU kwenye mitandao mingine.
Tupe mrejesho boss.Hapa nilipo najaribu kutazama GHARAMA NAFUU kwenye mitandao mingine.
na mimi nasubili jibu utanitag ndgu ila kuna mtu kanambia ni zantelTupe mrejesho boss.
Mpaka sasa ni mtandao gani una gharama nafuu?
Naliona hilo kama upo Dar piga *148*05# Zantel Onlyna mimi nasubili jibu utanitag ndgu ila kuna mtu kanambia ni zantel
HakunaTupe mrejesho boss.
Mpaka sasa ni mtandao gani una gharama nafuu?
Mliambiwa mhamie Burundi mkadhani ni utani eeh.Hakuna