James Hadley Chase
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 1,984
- 3,695
Mkuu mbona kwangu nimeangalia sijaona mabadiliko bado?Mambi ni byuti byuti huko kwenye maasiliano.
Sasa MB 1 ni Tsh 2.50 kutoka 1.50 na hiyo ni TTCL tu sijui huko kwingine
Nenda BuFEEMkuu mbona kwangu nimeangalia sijaona mabadiliko bado?
Nenda BuFEE
Hiyo GB 1 ni siku, wiki au mwezi?nanunua 1.5 GB kwa 3000 Voda, yaleyale tu
Huku kwingine ni balaaa bin hatarMambi ni byuti byuti huko kwenye maasiliano.
Sasa MB 1 ni Tsh 2.50 kutoka 1.50 na hiyo ni TTCL tu sijui huko kwingine
wiki 2Hiyo GB 1 ni siku, wiki au mwezi?
Wapi huko mkuunataka nije chapHuku kwingine ni balaaa bin hatar
Hata wakisema mwaka! We hiyo GB 1,unaitumia kwa muda gani?Hiyo GB 1 ni siku, wiki au mwezi?
Inategemea na matumizi yanguHata wakisema mwaka! We hiyo GB 1,unaitumia kwa muda gani?
Mambi ni byuti byuti huko kwenye maasiliano.
Sasa MB 1 ni Tsh 2.50 kutoka 1.50 na hiyo ni TTCL tu sijui huko kwingine
Zamani nilikuwa nanunua MB 330 kwa shilingi 500, lakini leo nimejaribu kununua nimekuta ni shilingi 825 kwa MB 330. GHARAMA imepanda sana.