Tetesi: Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya yaiva, JPM atema kibao

Huko ni kuongeza ghalama au ni kupunguza ghalama. Kumteua mkuu mpya, au kubadirishiwa eneo la kazi, hakuongezi matumizi kweli?
 
Kama ni kweli, wakina J Muro, wanaweza kupewa nafasi
 
Na sasa hv watu wamemjulia. Ukitaka kuteuliwa we msifie sana ponda upinzani. Kesho ajira unayo
 
Na sasa hv watu wamemjulia. Ukitaka kuteuliwa we msifie sana ponda upinzani. Kesho ajira unayo

Umeandika kituko gani!!
Ukitaka kuwa wizard nenda kajifunze uje ujaribu tena kuandika uongo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…