Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Le mutuz, Muro, Ngoma, Mpendazoe itapendeza zaidi!!Salaam wana jamvi!
Mabadiliko ya MaDC sasa yameiva na ndani ya wiki kuanzia J3 hii itatolewa orodha mpya ya majina.
Wakuu wa Wilaya wengi wameachwa huku sura mpya zikiingia.
Kazi ni moja tu One Product, One District katika dhana nzima ya viwanda.
Kaa tayari hapa kupokea mabadiliko hayo.... View attachment 629838

yaweza kuongezeka kwani si kuna kulipwa mafao na kadhalikaHuko ni kuongeza ghalama au ni kupunguza ghalama. Kumteua mkuu mpya, au kubadirishiwa eneo la kazi, hakuongezi matumizi kweli?