Tetesi: Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya yaiva, JPM atema kibao

Umewatoa watu mapovu kwa tetesi zilizotengenezwa kichwani mwako mwenyewe.
 
Anayetrend kwasasa ni Dr. Shika! Wengine drama zao zishazoeleka kiasi kwamba you can predict
 
Hivi na mimi kwa juhudi zangu za kumnanga baba j simo kweli? Au mimi nitakuwa kwa wasiojulikana.
 
Sasa kwanini alisema katumia muda kufanya vetting
 
awamu hii kuna haja kubwa iingizwe kwenye kitabu cha kumbukumbu,maana ni full mauzauza.
 
Panga, pangua, teua, tengua, teua tena, pangia kazi nyingine.
 
Sina hakika na hiyo slogan yako mpya ya one product on district.
Ila kwakuwa subira yavuta kheri ngoja tuonee
 
Mvua inanyesha sehemu nyingi ya Nchi wakuu ni bora tukalime tupate pesa kuliko kushinda kuzua hoja za kutikisa familia za watu mitandaoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…