Tetesi: Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya yaiva, JPM atema kibao

Siku nikipata nafasi nitakwida mbowe Kofi au kumrushia jiwe ili nami niteuliwe nimesahaulika kwa kuwa nimekaa muda mrefu mno. Awamu hii bila kumtukana au kupiga mpinzani naona utaonekana huchapi kazi. Natania tu jamani
 
Ukiona hivyo ujue aliowachagua 95% hawaku perform. Ni muhimu abadilishe vigezo vya kumchagua mkuu wa Wilaya
 
kuna watu wanautafuta ukuu wa wilaya kwa spidi

muro jerry
nyerere steve
.....
.....
 
Muambieni Muheshimiwa aniweke huko.

Kwa jina hili hili then nitaweka wazi jina langu la ukweli
 
Le mutuz, Muro, Ngoma, Mpendazoe itapendeza zaidi!!
 
Le mutuz, Muro, Ngoma, Mpendazoe itapendeza zaidi!!
 
Huko ni kuongeza ghalama au ni kupunguza ghalama. Kumteua mkuu mpya, au kubadirishiwa eneo la kazi, hakuongezi matumizi kweli?
yaweza kuongezeka kwani si kuna kulipwa mafao na kadhalika
 
Afadhali mkuu anazingatia ushauri. Maana tulisema ili haya mavyeo yawe mengi basi ni vyema wachezaji wakabadilishwa badilishwa uwanjani kabla dk tisini hazijaisha. Maana iwapo timu itahitaji wachezaji 12 inabidi wengine watolewe ili wengine waingizwe angalau wote tuonjepo kidogo!
 
nilicho furahi sasa ameacha vaa shati/suti za kufunika hadi mikono.

huku kwenye teuzi naona atakuwa bado ajabadirika ataendeleza Kuteua wanaomsifia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…