Tetesi: Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya yaiva, JPM atema kibao

Kama ni kweli badilisha badilisha nayo sio nzuri dk hizi, mwaka wa pili ilitakiwa ajue first eleven yake kamili na subs nzuri!
Naona kama bado yuko ktk TRIAL N ERROR!
 
Naamini dkt shika mzee wa 900 itapendeza atakuwepo kwenye list
 
Kwa kuwa Mnyeti na Malima wamepandishwa vyeo, nashindwa kuwa na imani na hayo mabadiliko.

Vv
 
Huwezi kasi kaa pembeni, hutaki kupiga kazi nenda kwingine utakapotanuwa na magari, mikutano isiyoisha, chai masaa 5 na lunch masaa 4! [HASHTAG]#hapakazitu[/HASHTAG]...
 
Madiliko sio hoja,wananchi tunataka tija.MaDC waliopo wengi ni mizigo.Hatutaki vijana wanaotafuta experience,we want people with experience.Hatutaki waje wajifunzie kazi kwenye maisha yetu!Our life is too important to be played with.
 
Kipengere hiki nacho kinanifanya nimkubali Magu, kwamba ikiwezekana kila mmoja aonje madaraka sio wale wale siku zote kama wengine hatuwezi vile ebo, alete sura mpya tu ili dhana ya cheo ni dhamana ieleweke ndani ya jamii.
 
Hii panga pangua......Mpaka awamu hii iondoke kila mtu atapewa post(ya Uongozi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…