Tetesi: Mabadiliko ya Wakuu wa Wilaya yaiva, JPM atema kibao

Kuna vyeo vinaongeza ukubwa wa muundo wa serikali.
 
Kama hufahamiki, inabidi uwe na elimu nzuri, master's au Phd, anaweza kukufikiria. Kama unafahamika haijalishi elimu, ni maneno yako tu unaulamba u DC mapema. Sijui wengine atatujua lini, tupo huku mikoani na elimu zetu, ni wachapa kazi lakini hatuna pa kutokea
 
hivi my no 1 huwa ana apply his MIND kabla ya kufanya hizi teuzi?maana kumteua mtu leo baada ya miezi sita unamfukuza au kumpangia kazi nyingine inaonyesha mapungufu hata kwako anayeteua
 
Ajira hizo. Wenye bahati zao kazi kwao
 
kasi ya jpm mfanyakazi anayeigiza bila kufanya kazi hatobaki salaama
 
Katika system muhimu kabisa kwa Rais ,inayoweza kumfanya rais na chama chake kubaki nadalakani ni wakuu wa mikoa na wilaya,kama kuna wasaliti kwenye viongozi hawa ,kunahatari ya kwa wanompinga kumuondoa madalakani hata ndani ya chama.

HAYO NI MAANDALIZI YA UCHAGUZI WA MWAKA 2020 KWENYE MCHAKATO WA NDANI YA CHAMA HADI KWENYE KUPEPELUSHA BENDERA.

HAPO ANABADILISHA TARATIBU KWA KUWEKA SYSTEM YAKE.
 
Ukitaka kuteuliwa tafuta chance umvizie Seif Sharif umpige kibao mbele ya DC kama Mnyeti. Kesho yake unateuliwa DC au RC
 
Wenye performance kama Makonda mtaendelea lakini wale wa kunywa chai ofisini ajira imeshikiliwa na Uzi wa sindano!!!!!!
 
safi kabisa. akitumbuliwa DC mmoja, vinazaliwa viwonderi vipya 10 vipya!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…