Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
-
- #21
Mumeo kakutuma eeYawezekana wewe
ndiyo usie na akili na ni mpumbavu kwa kufuatilia comment za wanaume ilhali wewe si mwanaume
Mumeo kakutuma ee
kwahyo wwe unaamini kwenye ubepari?Na moja ya mambo niliyojifunza ni hili "mabadiliko yamefungwa kwemye ubaya"
Kwanini iko hivi
- Walioko kwenye mfumo wananufaika nao hawawezi kukuachia kirahisi
- Hata wakikuachia watahakikisha unawalinda haya tunayaita mabadiliko danganya toto
- Ndo maana mabadiliko ya kweli yamefungwa kwenye ubaya na ni magumu sana
Soma uzi kwa umakini utauelewakwahyo wwe unaamini kwenye ubepari?