Mabadiliko yanaletwa na sisi. Nawaamkia wanaJF

Mabadiliko yanaletwa na sisi. Nawaamkia wanaJF

Joined
Apr 29, 2024
Posts
23
Reaction score
35
Mu hali gani wana JF
Nimehamasika kushiriki mijadala pamoja nanyi
Nimehamasika kuelimika kupitia JamiiForums
Nimehamasika kuheshimu kanuni na sheria za jukwaa
Nimehamasika kuwaheshimu nyote

Nimehamasika kusisitiza neno hili la fikra kwamba MABADILIKO YANALETWA NA SISI. Hakuna wengine zaidi ya sisi.

Engage
 
Back
Top Bottom