Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application

Mgiriki MTz

JF-Expert Member
Joined
Dec 27, 2019
Posts
330
Reaction score
270
*Mzuri wa sura sio unakuwa na demu sura kama ngiri.

*Mweupe au rangi ya chocolate au maji ya kunde na sio mweusi.

*Shepu lazima awe na msambwanda medium size,Sio shape kama Sanchoka maana ile ni kero.

*Awe mrefu kiasi sivutiwi kabisa na short chassis.

*Miguu isiwe na gaga,vidole vya miguu viwe na kucha safi tena asilia pia vidole viwe vimenyooka. Sio mwanamke vidole utafikiri meno ya mamba having ushirikiano.

*Asiwe anatumia bidhaa za bandia za urembo kama kucha, kope, lipstick+lipshine, make up na mawigi.

*Awe na kucha nzuri za mikononi tena itapendeza kama asipopaka ranging, sio demu ana vikucha vyeusi na vifupi kama simbilisi/Guinea pigs.

*Asiwe na hela kunizidi Mimi, maana sitaki dharau.

*Tabia sio muhimu tutarekebishana.


Mabaharia karibuni mtoe na nyinyi sifa zenu za marriage application.
 
Wewe msambwanda wako upo poa. Kama flat screen usituboe hapa. Suruali utafungia wapi ili isishuke magotini!!!
Mwanaume kuwa na msambwanda hill ni tatizo kubwa.
 
wewe mwenyewe una sifa gani kati ya hizo ulizoziorodhesha?
 
Mm napenda hao short gals japo n watu hatar 🤣
Kwny miguu tuko p1 napenda sana vidole
Bidhaa bandia atumie kwny matukio muhimu sio kila mda eg; lulu
Tabia naput into consideration

Ila mm daahh kabila japo kote kuna wahuni ila naamin kuna makabila yamezidi
 
Huwa tukiwafunga tai au kifungo cha juu tunapanda kwenye stool au kitanda kuwafikia[emoji56][emoji56].
Short chasis inaendana na Mr big mwanaume anaheight na weight za kutosha.
Hiyo combination balaa

mama wawili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…