Mabaharia kikao cha Dharura

Mabaharia kikao cha Dharura

Morg

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2018
Posts
1,301
Reaction score
1,788
Wakuu kuna kikao cha Dharura hapa nimekiitisha sisi kama wanaume bahili Tanzania tumeshtushwa Sana na hizi taarifa za ujio wa hiki chama tena kuja kwa Kasi ni hatari kwa chama chetu

Nia na dhumuni ni namna ya kudeal na kukififisha hiki cha cha , UMOJA WA PISI KALI TANZANIA .huku wakiwa na MOTTO, TUMA NA YAKUTOLEA

Mm kama C.E.O nimeunda team ya watu saba ipo mtaani kufuatilia kwa ukaribu taarifa juu ya hiki chama . Pamoja katika kuimarisha chama chetu
 
Ngoja kanza, ile buku shing tano ( Tsh 1500/=) yakusajilia Chama chetu ilishapatikana? Maana ilikua imepelea hiyo tuu Chama Kisajiliwe Kisheria.
 
Ha haha this time watakufa njaa.

Pia ningependa kuwashukuruUWABATA katika mtaa wangu kwa msaada wa kuipata 500/= yangu niliodondosha leo, asanteni Sana.
Wengine walikuja na fyekeo, majembe na wengine wakabeba sumaku ili pengine inate wakipitisha pitisha sumaku
FB_IMG_1613749496786.jpg
 
Back
Top Bottom