Mabaharia tu piteni hapa

Mabaharia tu piteni hapa

Kuna uyu kasema yy dau lake ni $100
Screenshot_20191012-231920.jpeg
 
Kuna maeneo nilimwona Tunda anaenda kupanda taxi ,ni mzuri aisee na sasa hivi alivyonenepa flani basi kavaa kikaptula dah ni shida ila hafikii kama kwenye picha
 
Mwee wanangu photo retouch mchawi kweli. Hapo unamtakan dem afu unakutana nae ngozi kama ya ngamia [emoji23][emoji23] hapo makovu yote yamefichwa anaonekana anatelezaa
[emoji2][emoji2][emoji2] mademu awa bhn
 
Naomba mnieleweshe maana ya mabaharia ni nini? Maana naona huu msemo umeingia
 
Back
Top Bottom