Mabaharia tusisomeshe kupitiliza, graduation 2019 kuna mabaharia wametoa chozi

Mabaharia tusisomeshe kupitiliza, graduation 2019 kuna mabaharia wametoa chozi

Wakome hawasikii toka miaka ya sabini kuna nyimbo watu wanajuta kusomesha watoto wa wenzao
 
Wanabodi,

Sherehe za wahitimu 2019 zimegubikwa na kasheshe za hapa na pale. Mabaharia waliosomesha na kutoa huduma vyuoni wamelia baada ya kushuhudia mahusiano mapya kipindi hiki cha sherehe.

Asiyesikia la mkuu huvunjika guu.Tusisomeshe kivile, kuna jamaa ana Diploma halafu mke wake kagraduate Masters Mzumbe University. Amepata shida sana Morogoro baada ya kuona alichokielewa machoni mwake.

Mabaharia tusikwame!
Tunajua
 
Back
Top Bottom