Mbalamwezi1
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 2,073
- 2,026
Mikocheni mkuu kuna watu wanatafuta wanaume wa kuwaona robo tatu ya kanisa wanatafuta wanaume alafu zote pini kali kama MENINAMlima wa moto ndio wapi?
Mkuu haijalishi unafanya kibarua ganiMikocheni mkuu kuna watu wanatafuta wanaume wa kuwaona robo tatu ya kanisa wanatafuta wanaume alafu zote pini kali kama MENINA
Mikocheni mkuu kuna watu wanatafuta wanaume wa kuwaona robo tatu ya kanisa wanatafuta wanaume alafu zote pini kali kama MENINA
Mkuu nauli yako tu mademu wanafanyakazi kama wewe mpanda vitonga ndio mahali pakeMkuu haijalishi unafanya kibarua gani
Namuona mzee wa kuinuliwa ha ha ha a ha nasikia walimnyoa nyota moja rais alivyoondokaIyo sio ya kukosa!!!!
Mabaharia wenzangu najua mtakuwa mmenielewa sio lazima mpk tupelekwe na Upepo wa Kisulisuli![emoji14][emoji13][emoji39][emoji39]
Ila sijui tuwaambie wanachokimbilia kule au tuwaache wakajionee wenyewe.....Mkuu nauli yako tu mademu wanafanyakazi kama wewe mpanda vitonga ndio mahali pake
Unapiga mizigo yenye upako tu kuna yule aliyevaa gauni jekunde bonge hivi mtu asiguse jpili natimba mwenyeweMkuu nauli yako tu mademu wanafanyakazi kama wewe mpanda vitonga ndio mahali pake
Acha we mid nitakuwa hapo saa12 asubuhiMikocheni mkuu kuna watu wanatafuta wanaume wa kuwaona robo tatu ya kanisa wanatafuta wanaume alafu zote pini kali kama MENINA
Kuna nn tena hukoMabaharia wenzangu najua mtakuwa mmenielewa sio lazima mpk tupelekwe na Upepo wa Kisulisuli![emoji14][emoji13][emoji39][emoji39]
Usisahau kondom mkuu chukua namba za wiki nzima kila siku unapiga pini moja hadi jumapili inayofuataAcha we mid nitakuwa hapo saa12 asubuhi
Kanisa Sio danguro la kunadi Wanawake.Yesu alisema nyumba Yake Ni nyumba ya Sala Sio gulio la kunadi Wanawake wasio na wanaumeMikocheni mkuu kuna watu wanatafuta wanaume wa kuwaona robo tatu ya kanisa wanatafuta wanaume alafu zote pini kali kama MENINA