Mabaharia wote Jumapili ijayo ibada mlima wa moto

Mabaharia wote Jumapili ijayo ibada mlima wa moto

Mi nimemuona moja maji ya kunde amevaa gauni la kitenge halafu ana wezere hapo ntamtoa mtu busha akisogea.. jumapili nawahi siti ya mbele kabisa
 
Mm nimesha weka order, ni kitendo cha kwenda na kuchukua na kwenda kubonda..
 
.
mlima.jpg


Hii kitu siyo ya kukosa, nimeshapiga kambi mlimani tayari tayari.
 
Back
Top Bottom