Mkuu unahonga honga ovyo hujiamini, kuonga kote uko bado unatumia tecno.
Mkuu kuhonga iphone yenye iCloud ni ubaribifu, nitakup mbinu.. Mpya. Iphone ya icloud bado ni pesa ukiuza spares mkuu. Sijapenda kabisaMimi zangu za mkopo akijifanya anaruka nahonga iPhone zenye iCloud namwambia hiyo ukiflashi fresh unakaa hewani hiyo ni password ya kawaida tuu na hii ni kwa vile visuuuu ila kichwani zero.....hawa wengine huwa tunakopa tu mwanzo mwisho.
Unaweza kuwa na hela na ukawa mbahiri vilevile.......labda hapo ungesema "tusiokuwa na ela za mchezo mchezo"Sema tusiokuwa na hela sio mabahili.
By the way, wewe chunwa tu... Ningelikuona mpumbavu unahonga vyote alafu tambo ni tecno.
Na hii ni nini?fimbo za macho tuu pussy wewe niko katika level ya maisha ambayo nina uwezo wa kununua chochote ninachotaka
We unahonga....si tunamega kisela[emoji41]Umasikini tuu, embu cheki mtoto mkali anacheka na 50K jioni hii, bado kesho tena anapata nyingine
Mtaishia kula mademu wabovu wabovu ambao hata viwanja hamuwezi kwenda nao, wananuka vijasho na chupi zimetoboka
By the way, wewe chunwa tu... Ningelikuona mpumbavu unahonga vyote alafu tambo ni tecno.
Acha umama,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mi ni betina type ucdanganyike na fake avatar chaaa cyo mm bana!Hio avatar ni yako,pls nijibu tuu na nafsi yangu itaridhika
Me ndio zangu demu akiwa mizinga mingi naweza ata zimu mpaka achokeWale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Hahahahah gene the beauty[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mkuu mi ni betina type ucdanganyike na fake avatar chaaa cyo mm bana!
Tunalipa lakini ile stahiki sio kinyume chakeIla ukila umelipia kuna raha yake jamani, watoto wanabinuka na kujikunja kama jongoo alieguswa sharubu.
Lakini vya dezo, utapewa style za ajabu ajabu kama maiti iliyosusiwa na ndugu.
Yote sawa tu kama pesa haitumiki ni kama hauna tu tunakubali hatuna ndioSema tusiokuwa na hela sio mabahili.
Mubashara kabisaTehe tehe tehe
Kweli JPM amekaza..mpaka vijana wanapitia katiba upya ya uhongaji.
Nikupongeze mtela mada..maboresho ya mbinu ni muhimu kwani kwa kuzingatia hayo itawezesha wanaume kulinda maslahi ya waleti na mafanikio kiujumla.
TABIA YA UHONGAJI usio na mipaka umewatoa vijana wengi nje ya chaki kwa kuendelea kutumia mihemko katika uhongaji.Hivyo mwisho wa siku kupoteza nyota na pesa ambazo zingemsaidia katika mambo ya msingi.
NIPENDEKEZE...Weledi watiririshe mbinu mpya ambazo zitafanya katiba ya uhongaji kuwa yenye tija bila kuathiri uchumi wa mwanaume.
Ahsante.
Basi muache kupiga kelele wenye nazo wametulizana kimya.Yote sawa tu kama pesa haitumiki ni kama hauna tu tunakubali hatuna ndio
kuna bahili anayewaza pussy tu? umebugi man😀Jiulize jambo moja tuu, kama unayo kwanini usimpe kama ana mahitaji?kama hauna na anaforce hapo sawa, sioni ugumu kumpa hata kama ni mchepuko wangu hela afanye anachotaka huo ni ubinafsi, tatizo mnawaza pussy too, ila inafurahisha kama uko na mchepuko, mke au mchumba wako na amependeza na wa kisasa zaidi, mimi siwezi kuvaa kiatu kizuri afu mwanamke wangu anavaa vya kimasai no no...nshaset standard ntaishi nayo hivyo hivyo kuna vitu ving sana vya kujifunza
pesa tunazo lakini zina priorities kubwa sio kuhongaBasi muache kupiga kelele wenye nazo wametulizana kimya.
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu