Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Povu hilo, fimbo za macho tuu hivi siku hizi watu wanatemwa?
Ha ha haaa.... Relax bro. Najua kuhonga ni kwa mtu ambaye si mke wala mchumba. Mke na mchumba unamsaidia vinginevyo awe na tamaa zake pamoja na njaa. Ukishajua hilo jiulize kwanini unahonga?
 
Mademu wa leo warahisi sana ukitoa hela umepanda tu leo nimekutana na mmoja yaani alivyokuwa akijilegeza kwangu
Nikamvuta nikamkumbatia katulia
Nikambusu katulia
Nikamla denda katulia
Mwisho wa siku nikakomelea kabisa
Tumetoka nikamnunulia msosi wa nguvu na sh/ 7000
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ha ha haaa.... Relax bro. Najua kuhonga ni kwa mtu ambaye si mke wala mchumba. Mke na mchumba unamsaidia vinginevyo awe na tamaa zake pamoja na njaa. Ukishajua hilo jiulize kwanini unahonga?

Jiulize jambo moja tuu, kama unayo kwanini usimpe kama ana mahitaji?kama hauna na anaforce hapo sawa, sioni ugumu kumpa hata kama ni mchepuko wangu hela afanye anachotaka huo ni ubinafsi, tatizo mnawaza pussy too, ila inafurahisha kama uko na mchepuko, mke au mchumba wako na amependeza na wa kisasa zaidi, mimi siwezi kuvaa kiatu kizuri afu mwanamke wangu anavaa vya kimasai no no...nshaset standard ntaishi nayo hivyo hivyo kuna vitu ving sana vya kujifunza
 
kama unayo kwanini usimpe kama ana mahitaji?kama hauna na anaforce hapo sawa, ......ila inafurahisha kama uko na mchepuko, mke au mchumba wako na amependeza na wa kisasa zaidi

Hapo sawa. Ila ondoa sentensi moja kwenye maelezo yako ya awali. ""kuwa vijana wanawaza pussy tu""
Labda kama sikukuelewa
 
Ndg mwenyekiti

kama kamati ya ulinzi naleta ripot kuwa huyu bidada anahasira sana na sisi kwa kuwa juzi alikopwa penzi na hajalipwa hadi hivi sasa ninapokukabidhi mrejesho
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] alikopwa la bei gani?
 
Back
Top Bottom