Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mademu wa leo warahisi sana ukitoa hela umepanda tu leo nimekutana na mmoja yaani alivyokuwa akijilegeza kwangu
Nikamvuta nikamkumbatia katulia
Nikambusu katulia
Nikamla denda katulia
Mwisho wa siku nikakomelea kabisa
Tumetoka nikamnunulia msosi wa nguvu na sh/ 7000
Duh,naona umetia chumvi kidogo katika kushadidia kuwa na wewe ni mmojawapo wa mabahili
 
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Tupo wengi na ada ya mwanachama wa group hili tupo tayari kulipia
 
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Mkuu chama chetu tuipe jina la "Chama cha Mabahili na Wasiokubali Kupelekeshwa kwenye Mapenzi Tanzania" (CHAMAKUMATA)
 
Mimi zangu za mkopo akijifanya anaruka nahonga iPhone zenye iCloud namwambia hiyo ukiflashi fresh unakaa hewani hiyo ni password ya kawaida tuu na hii ni kwa vile visuuuu ila kichwani zero.....hawa wengine huwa tunakopa tu mwanzo mwisho.
mjumbe mwenzangu nimefurahishwa na hilo swala la iPhone, sasa kama mwanachama mwenzangu hebu nipatie hints ni wapi nitapata iPhone yenye hiyo kitu mana kuna mbuzi hataki kutoa zigo hadi apewe iPhone
 
Hii ni elimu ya kiuchumi haimanishi kutokutoa kabisa bali kutoa kwa malengo,siyo leo umempa 30,000 za saloon,kesho umempa 300,000 ya simu kesho kutwa anataka mtoke out kwa budget isiyopungua 100,000 na wewe unakubali kama toy na wakat income yako per day ni 30,000.Huu ni uwenda wazima na usitegemee kupata maendeleo ktk maisha yako.
Kuna gari iliandikwa,"ADUI
KWANZA WA MAENDELEO YA MWANAUME NI MWANAMKE".

NJIA KUU NILIYOTUMIA KUOSHA RUNGU KABLA YA NDOA

1.Nilikuwa natafuta mademu wakali na wenye maadili mazuri

2.Nilikuwa sipendi kujionyesha kama nina hela au la.Yaan niwe na hela au nisiwe na hela yeye ni vigumu kufahamu

3.Sikuwa mtu wa mademu sana ila upendo wangu kwa mademu nisiyekuwa na malengo nao ulikuwa mdogo sana

4.Nilikuwa kila demu lazima nimuonyeshe kuwa mim ni mwanaume mwenye nguvu so kwangu kuwafanya wapate orgasms hata zaidi ya mara 5 per match ilikuwa kawaida.Na hii strategy imeniathiri mpaka leo,mademu wangu wa zamani wananisumbua sana ili hali wakijua nimeoa,wanachosema sasa hivi ni kuwa wamenikumbuka sana na wengine wameshaolewa.Of course huwa
relief without paying contract kwa wale ambao hawajaolewa.

5.Nilikuwa mtu siyo wa starehe sana mpaka sasa.Starehe zangu zilikuwa za siku maalum na tunapanga budget pamoja

N.B:kuhonga isiwe njia kuu ya kupata mademu kwan siku ukiwa hauna pesa hautawapata
 
Si busara kuingilia vikao vya watu wazima mabahili tunapopanga mipango yetu,naomba jopo la ulinzi la mabahili limchunguze huyu mgeni,tafadhal jopo la ulinzi liwasilishe ripoti isiyozid maneno tisa na nusu ili kubana matumizi ya wino na karatasi
Ndg mwenyekiti

kama kamati ya ulinzi naleta ripot kuwa huyu bidada anahasira sana na sisi kwa kuwa juzi alikopwa penzi na hajalipwa hadi hivi sasa ninapokukabidhi mrejesho
 
Ndg mwenyekiti

kama kamati ya ulinzi naleta ripot kuwa huyu bidada anahasira sana na sisi kwa kuwa juzi alikopwa penzi na hajalipwa hadi hivi sasa ninapokukabidhi mrejesho
Ahsante kwa kutuletea ripot,ripot imebeba takribani maneno ishirin na saba yenye ujumbe kuntu,ahsante sana lazima upewe ulinzi binafsi na jua maadui watakuandama kutokana na ripot hii
 
Ningekua sijaoa ningekuwepo japo nilikua nahonga sana mpka nikafilisika,sasa kwa hili nilitaman niwepo ila haiwezekan,ha ha ha sikuhiz nimekua bahil mpka kula kwang
 
nashukuru kamwe sitowaangusha nmeapa kukilinda chama♥♥ zid ya wahujum uchumi(wa....nawake)
Kwangu sina mashaka juu ya kukupa kazi hiyo ila ngoja kura ya veto/turufu ipigwe na wajumbe,ukihizinishwa na Joseverest utakuwa tayari umepata kazi
 
Hiki Chama ili ukimudu lazima uwe Single boy
Ukiutumia vizuri, unaongeza kipato chako.
Ila ukiwa na mpenzi, lazima kuhonga na mzinga utapigwa tu na utatoa tu.
Nilijifunza Mengi tangu niwe single boy ila sitaki usajili hapa kwenye chama, maana natamani kunyemelea majukumu.
Chama hoyeee
 
Umasikini tuu, embu cheki mtoto mkali anacheka na 50K jioni hii, bado kesho tena anapata nyingine

Mtaishia kula mademu wabovu wabovu ambao hata viwanja hamuwezi kwenda nao, wananuka vijasho na chupi zimetoboka
Kwani kwenye huo muamala wameandika kwamba umetuma pesa kwa MCHEPUKO wako au wameandika jina la mpokeaji??? Kama umemtumia mama yako mzazi tutajuaje?
Halafu siyo kweli wanaohongwa hela ndefu ni wasafi,wengine hela hizo za kuhongwa zinawafanya wawe wachafu zaidi.
Kumbuka pia kutuletea sms siku ukitemwa
 
Povu hilo, fimbo za macho tuu hivi siku hizi watu wanatemwa?
 
Mademu wa leo warahisi sana ukitoa hela umepanda tu leo nimekutana na mmoja yaani alivyokuwa akijilegeza kwangu
Nikamvuta nikamkumbatia katulia
Nikambusu katulia
Nikamla denda katulia
Mwisho wa siku nikakomelea kabisa
Tumetoka nikamnunulia msosi wa nguvu na sh/ 7000

Hiyo bado ni hela kubwa sana, jaribu kupunguza matumizi..
 
Back
Top Bottom