Hii ni elimu ya kiuchumi haimanishi kutokutoa kabisa bali kutoa kwa malengo,siyo leo umempa 30,000 za saloon,kesho umempa 300,000 ya simu kesho kutwa anataka mtoke out kwa budget isiyopungua 100,000 na wewe unakubali kama toy na wakat income yako per day ni 30,000.Huu ni uwenda wazima na usitegemee kupata maendeleo ktk maisha yako.
Kuna gari iliandikwa,"ADUI
KWANZA WA MAENDELEO YA MWANAUME NI MWANAMKE".
NJIA KUU NILIYOTUMIA KUOSHA RUNGU KABLA YA NDOA
1.Nilikuwa natafuta mademu wakali na wenye maadili mazuri
2.Nilikuwa sipendi kujionyesha kama nina hela au la.Yaan niwe na hela au nisiwe na hela yeye ni vigumu kufahamu
3.Sikuwa mtu wa mademu sana ila upendo wangu kwa mademu nisiyekuwa na malengo nao ulikuwa mdogo sana
4.Nilikuwa kila demu lazima nimuonyeshe kuwa mim ni mwanaume mwenye nguvu so kwangu kuwafanya wapate orgasms hata zaidi ya mara 5 per match ilikuwa kawaida.Na hii strategy imeniathiri mpaka leo,mademu wangu wa zamani wananisumbua sana ili hali wakijua nimeoa,wanachosema sasa hivi ni kuwa wamenikumbuka sana na wengine wameshaolewa.Of course huwa
relief without paying contract kwa wale ambao hawajaolewa.
5.Nilikuwa mtu siyo wa starehe sana mpaka sasa.Starehe zangu zilikuwa za siku maalum na tunapanga budget pamoja
N.B:kuhonga isiwe njia kuu ya kupata mademu kwan siku ukiwa hauna pesa hautawapata