Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Hili li chama la kijinga sana.

Kiukweli ntalipinga mpaka pale hasira zangu zitakapoisha.

Hasira kali juu ya chama hiki
"" NI KWA NINI KIMECHELEWA KUANZA MPAKA MWENZIO NIDHAHONGA ZAIDI YA ELF 3??"""

Hakika najuta kwa nini hakikuja mapema, yani imefika hatua najiona buku tatu tatu zangu zilivyoliwa,


Kwenye hiki chama nahitaji uongozi ili tuwakomboe vijana wanaoteseka na kirusi hiki
 
Kwanza sitaki hata ajue kipato changu. Akiomba pesa namuuliza kwani mshahara wako umepeleka wapi???? Majibu yangu ya dry balaa ila ananipenda kinoma noma
 
Kamwe Sitoacha kukushukuru Smart911.. Hakika wewe ni wa kipekee sana.. Asante mungu
Haya maongezi yenu mbona hayafanani na ubahili,mbona mnaturudisha nyuma katika hatua hii muhimu dhidi ya wanyonyaji?ukoloni katika mapenzi ndio adui yetu mkubwa kwa sisi wanaume
 
Kwanza sitaki hata ajue kipato changu. Akiomba pesa namuuliza kwani mshahara wako umepeleka wapi???? Majibu yangu ya dry balaa ila ananipenda kinoma noma
Level za ubahili bado hujafikia naona bado unachembe za huruma
 
Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa = wanajeshi tusiopenda vita


Hiki chama kinafaa kabisa🙄
 
HATA MAONGEZ NIMEPUNGUZA maana kuongea sana mwishowe utashawishika
 
asee hiki chama kizuri sana

hela si kwamba hamna, ila ni priorities tu. kuna dada mmoja bhana aliingia kwenye 18 akakubali kugegedwa. siku ya siku akaja geto akagegedwa vizuri tu akasepa.

siku nyingine bhana akaitwa mgegedoni akasema hana nauli, akaambiwa poa njoo utapata.; alivyokuja akagegedwa akapewa na 1500 ya nauli (anapoishi mpaka geto nauli ni 800 go and return) basi akawa hajafurahi akaanza kukwepesha kuja, visingizio kibao ili mradi tu umtumie hela.

basi siku akiwa amebanwa na njaa kali ya hela akaambiwa atapewa 7000 ila haitatumwa kwa simu aje aichukue. haijulikani nauli alipata wapi ila akaja mkuku mkuku akagegedwa akapewa 2000 tu😀😀

na uhusiano ukaishia hapo😀😀
 
Mimi zangu za mkopo akijifanya anaruka nahonga iPhone zenye iCloud namwambia hiyo ukiflashi fresh unakaa hewani hiyo ni password ya kawaida tuu na hii ni kwa vile visuuuu ila kichwani zero.....hawa wengine huwa tunakopa tu mwanzo mwisho.
 
Back
Top Bottom