Mehek
JF-Expert Member
- Feb 26, 2017
- 7,473
- 10,426
[emoji57] [emoji57] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mabahili mliotukuka mkuje hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji57] [emoji57] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mabahili mliotukuka mkuje hapa
Karibu sana haujapotea njiaNimehamia chama hiki rasmi
Nami mimi piaKaribu sana haujapotea njia
Level za ubahili bado hujafikia naona bado unachembe za hurumaKwanza sitaki hata ajue kipato changu. Akiomba pesa namuuliza kwani mshahara wako umepeleka wapi???? Majibu yangu ya dry balaa ila ananipenda kinoma noma
We mwenzetu unaishi nchi gani?Tuwe serious jama, hivi kuna watu wanahonga wanawake? why and how?
siku hizi tunabargain na mzigo tunakula... Ila wadada wana kipaji cha kumtambua bahili hata kwa kumuona Mara moja tu hongereni sana kwa hiliSema tusiokuwa na hela sio mabahili.