Bernie Fikiri
JF-Expert Member
- Aug 20, 2015
- 288
- 197
Ha ha haaa.... Relax bro. Najua kuhonga ni kwa mtu ambaye si mke wala mchumba. Mke na mchumba unamsaidia vinginevyo awe na tamaa zake pamoja na njaa. Ukishajua hilo jiulize kwanini unahonga?Povu hilo, fimbo za macho tuu hivi siku hizi watu wanatemwa?