Mbona kama unalipa deni hapo ulilokuwa umekopa hapo awali? Tutaamini vipi kama ulikuwa unahonga? Weka nmbr yake tumpigie tujiridhishe...Umasikini tuu, embu cheki mtoto mkali anacheka na 50K jioni hii, bado kesho tena anapata nyingine
Mtaishia kula mademu wabovu wabovu ambao hata viwanja hamuwezi kwenda nao, wananuka vijasho na chupi zimetoboka
Mbona kama unalipa deni hapo ulilokuwa umekopa hapo awali? Tutaamini vipi kama ulikuwa unahonga? Weka nmbr yake tumpigie tujiridhishe...
Sent from my SM-A300F using JamiiForums mobile app
Kiroho safi ingia chamani tu wacha mbwembwe...Ha ha ha umetisha
Kiroho safi ingia chamani tu wacha mbwembwe...
Haya weeeeh! Unaleta mbwembwe za kihayaHiki chama sikiwezi, kwa standard yangu nimeshavuka huko
poa mkuu endelea kuchunwa kiroho safiHiki chama sikiwezi, kwa standard yangu nimeshavuka huko
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Inakuwaje mwanamme unayejitambua unajisahau mpaka unapigwa mzinga na demu? Makosa ni yenu nyie wanaume msiojitambua, usimpe mwanamke nafasi ya kukuomba mzinga na kumuendekeza.....kabla hajapata hiyo hela inabidi ateseke kwanza na kama ana kiburi basi asipewe hata robo ya hiyo pesa. Anakuomba mzinga wewe ni mzazi wake? Acheni kuendekeza wanawake wa dizaini hii, wakiona wanaume wanawakimbia watajirekebisha tu na kugawa bure.
Na kingine kinacho trend vzr ukishamgonga mwingizie pesa kwa tigo pesa then ukitoka unapiga simu umekosea kutuma hela baadae after 24 wanakurudishia inakua imekula kwakeMswada wa kubadilisha mbinu upo hapa jamvini na wasau bado wanatiririka bila shaka na hii njia ya kutoa nauli itazingatiwa kwa umakini
[emoji12] [emoji12] [emoji12][emoji3] [emoji1] [emoji1] Youth j
Mnadhan Bila kuhonga hampat Dem,hayo ndiyo mawazo yenuWanachama wengi wa chama hichi Wana dual-membership, ni wanachama pia wa chaputa
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Ha ....Ila ukila umelipia kuna raha yake jamani, watoto wanabinuka na kujikunja kama jongoo alieguswa sharubu.
Lakini vya dezo, utapewa style za ajabu ajabu kama maiti iliyosusiwa na ndugu.
😵Mi nawashauri hata nauli msitume,akikuambia yupo sehem mwambie nakuja mm mwenyewe,ukituma nauli imekula kwako