Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Umasikini tuu, embu cheki mtoto mkali anacheka na 50K jioni hii, bado kesho tena anapata nyingine

Mtaishia kula mademu wabovu wabovu ambao hata viwanja hamuwezi kwenda nao, wananuka vijasho na chupi zimetoboka
Mbona kama unalipa deni hapo ulilokuwa umekopa hapo awali? Tutaamini vipi kama ulikuwa unahonga? Weka nmbr yake tumpigie tujiridhishe...
 
Mbona kama unalipa deni hapo ulilokuwa umekopa hapo awali? Tutaamini vipi kama ulikuwa unahonga? Weka nmbr yake tumpigie tujiridhishe...

Sent from my SM-A300F using JamiiForums mobile app

Ha ha ha umetisha
 
Unaweza ukawa Member humu Lakini Usiwe Chaputa

Sent from my XT1034 using JamiiForums mobile app
 
Inakuwaje mwanamme unayejitambua unajisahau mpaka unapigwa mzinga na demu? Makosa ni yenu nyie wanaume msiojitambua, usimpe mwanamke nafasi ya kukuomba mzinga na kumuendekeza.....kabla hajapata hiyo hela inabidi ateseke kwanza na kama ana kiburi basi asipewe hata robo ya hiyo pesa. Anakuomba mzinga wewe ni mzazi wake? Acheni kuendekeza wanawake wa dizaini hii, wakiona wanaume wanawakimbia watajirekebisha tu na kugawa bure.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hili chama ni noma, me nalikubal na nalienz maisha yako yote

Sent from my itel it1505 using JamiiForums mobile app
 
Mswada wa kubadilisha mbinu upo hapa jamvini na wasau bado wanatiririka bila shaka na hii njia ya kutoa nauli itazingatiwa kwa umakini
Na kingine kinacho trend vzr ukishamgonga mwingizie pesa kwa tigo pesa then ukitoka unapiga simu umekosea kutuma hela baadae after 24 wanakurudishia inakua imekula kwake
 
Nimetoka kutibuana na manzi wangu,ati anataka kujitwika Peruvian hair!!,aisee nisipokuwa makini kwetu kusini sirudi
 
Wanachama wengi wa chama hichi Wana dual-membership, ni wanachama pia wa chaputa
Mnadhan Bila kuhonga hampat Dem,hayo ndiyo mawazo yenu
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu


Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Na kingine japo sio mwanachama huku lakin ushaur wng utawasaidia,,manz akikuambia umpe hela baada ya kumgonga we muingizia muamala kwa tgo pesa,halaf unatoka baada ya muda mfup unapga simu umekosea namba,imekula kwake
 
Ila ukila umelipia kuna raha yake jamani, watoto wanabinuka na kujikunja kama jongoo alieguswa sharubu.

Lakini vya dezo, utapewa style za ajabu ajabu kama maiti iliyosusiwa na ndugu.
Ha ....
 
Back
Top Bottom