jambo Tanzania
JF-Expert Member
- May 29, 2017
- 377
- 281
Sababu DEMU mwenyewe anastukia mimi ni Msela...We unahonga....si tunamega kisela[emoji41]
Kuna mmoja juzi tu eti anajifanya kaibiwa na mfanyakazi wa ndani hela zote sasa anataka nimpe hela ya pikipiki ya kwenda kwa ndugu wa huyo house girl kutoka hapa Dar mpka Iringa elfu 50 ya kwenda na kurudi hapo hapo tuna siku 2 na tumekutana kwenye mtandao tuWale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Duuu kibokoKuna mmoja juzi tu eti anajifanya kaibiwa na mfanyakazi wa ndani hela zote sasa anataka nimpe hela ya pikipiki ya kwenda kwa ndugu wa huyo house girl kutoka hapa Dar mpka Iringa elfu 50 ya kwenda na kurudi hapo hapo tuna siku 2 na tumekutana kwenye mtandao tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kuna mmoja juzi tu eti anajifanya kaibiwa na mfanyakazi wa ndani hela zote sasa anataka nimpe hela ya pikipiki ya kwenda kwa ndugu wa huyo house girl kutoka hapa Dar mpka Iringa elfu 50 ya kwenda na kurudi hapo hapo tuna siku 2 na tumekutana kwenye mtandao tu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]Kuna mmoja juzi tu eti anajifanya kaibiwa na mfanyakazi wa ndani hela zote sasa anataka nimpe hela ya pikipiki ya kwenda kwa ndugu wa huyo house girl kutoka hapa Dar mpka Iringa elfu 50 ya kwenda na kurudi hapo hapo tuna siku 2 na tumekutana kwenye mtandao tu
Sent using Jamii Forums mobile app
this made my dayIla ukila umelipia kuna raha yake jamani, watoto wanabinuka na kujikunja kama jongoo alieguswa sharubu.
Lakini vya dezo, utapewa style za ajabu ajabu kama maiti iliyosusiwa na ndugu.
Hufai broo kula pindi la ubahil kwanza na kuruka mizinga yao hapo utafaaDuuhhh ,,kwenye hili chama sijui nafaa ????
Sio bahili ila sipendi kupelekeshwa wala kuletewa mapozi yaaina yoyote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu chama chetu tuipe jina la "Chama cha Mabahili na Wasiokubali Kupelekeshwa kwenye Mapenzi Tanzania" (CHAMAKUMATA)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]nashukuru kamwe sitowaangusha nmeapa kukilinda chama[emoji813][emoji813] zid ya wahujum uchumi(wa....nawake)