Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

Mabahili na tusiopenda kupelekeshwa katika mapenzi wote tukutane hapa

We unahonga....si tunamega kisela[emoji41]
Sababu DEMU mwenyewe anastukia mimi ni Msela...

Msela wapi sema wewe Tozi sema una Hela...

Nani Tozi?, Dogo ntakupa Makonzi...

Sema tu kama una hamu ya Kumwaga Machozi...

Mtu Mzima huwa sitishiwi Nyau...

Nitakuchapa mpaka Home kwenu wakusahau...

Usilete dharau Dogo ntakupa za Chembe...

Ahaaaa, niguse nikuchane chane na Viwembe...

NASEMA HIVI HUYO DEMU NI WA KWANGU...

NA HAPA ALIPO TAYARI ANA MIMBA YANGU...

NAKATAA HUYU DEMU SIO WA KWAKO...

NA HIYO MIMBA NI YA KWANGU SIO YA KWAKO...
 
Wale wote tusiokubali kuchunwachunwa au kupigwa mizinga na wanawake tukutane hapa kwa lengo la kujadili mbinu mpya na kufanyia maboresho mbinu tuzitumiazo za kujikinga dhidi ya kupigwa mizinga kirahisirahisi na hawa wanawake.
Mfumo dume lazima uenziwe na uabudiwe kwa namna yeyote ile,tusikubali kurudishwa nyuma
Karibuni mabahili wenzangu
NB:mabahili pia tunasifa ya kupewa huduma zetu bila kutumia force isipokuwa maneno tu
Kuna mmoja juzi tu eti anajifanya kaibiwa na mfanyakazi wa ndani hela zote sasa anataka nimpe hela ya pikipiki ya kwenda kwa ndugu wa huyo house girl kutoka hapa Dar mpka Iringa elfu 50 ya kwenda na kurudi hapo hapo tuna siku 2 na tumekutana kwenye mtandao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwengine anajifanya eti anajisikia vibaya halafu hawezi kwenda kazini kwa hiyo ana kazi ya ofisi anatakiwa aifanye haraka iwezekanavyo na kwao umeme umeisha sasa nimtumie elfu 10 ya kununua luku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mmoja juzi tu eti anajifanya kaibiwa na mfanyakazi wa ndani hela zote sasa anataka nimpe hela ya pikipiki ya kwenda kwa ndugu wa huyo house girl kutoka hapa Dar mpka Iringa elfu 50 ya kwenda na kurudi hapo hapo tuna siku 2 na tumekutana kwenye mtandao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Duuhhh ,,kwenye hili chama sijui nafaa ????

Sio bahili ila sipendi kupelekeshwa wala kuletewa mapozi yaaina yoyote.
 
Kuna mmoja juzi tu eti anajifanya kaibiwa na mfanyakazi wa ndani hela zote sasa anataka nimpe hela ya pikipiki ya kwenda kwa ndugu wa huyo house girl kutoka hapa Dar mpka Iringa elfu 50 ya kwenda na kurudi hapo hapo tuna siku 2 na tumekutana kwenye mtandao tu

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Ila ukila umelipia kuna raha yake jamani, watoto wanabinuka na kujikunja kama jongoo alieguswa sharubu.

Lakini vya dezo, utapewa style za ajabu ajabu kama maiti iliyosusiwa na ndugu.
this made my day
 
Mkuu chama chetu tuipe jina la "Chama cha Mabahili na Wasiokubali Kupelekeshwa kwenye Mapenzi Tanzania" (CHAMAKUMATA)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom